Friday, February 6, 2009

Chenge ni Shujaa !?

ALIYEKUWA Waziri wa Miundombinu katika Serikali ya Awamu ya Tatu, Bw. Andrew Chenge, akipokelewa kama 'Shujaa' na baadhi ya 'wananchi' wa Bariadi Mashariki wakati akiwasili jimboni humo baada ya kujiuzulu. Je, unadhani alistahili kupokelewa namna hiyo.
HAPA, Bw. Chenge, 'Mzee wa Vijisenti', akihojiwa na Waandishi wa Habari kuhusu tuhuma hizo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius K. Nyerere jijini Dar es Salaam, mara baada ya kukanyanga ardhi ya Tanzania akitokea China. Je, huyu ni Shujaa,Tuma maoni yako, bonyeza hapo chini kwenye neno "Comments" utupe mtazamo wako.

No comments:

Post a Comment